Nguvu Za Yesu Juu Ya Mauti

Fellowship

Kilichotokea tangu tulipoachana je, una jambo la shukurani?
Jambo gani kimekuletea changamoto wiki hii, na je, unahitaji nini ili mambo yawe sawa?
Hitaji la watu nini katika jamii yako, na tunaweza kusaidiana vipi ili hitaji hilo litatuliwe?
Andiko lilikuwa lipi tulipokutana mara ya mwisho? Tulijifunza nini kuhusu Mungu na watu?
Katika kipindi kilichopita uliamua kutimiza ulichojifunza kwa vitendo. Ulifanyaje na ilifanikiwa kiasi gani?
Ulimshirikisha nani jambo kutoka andiko lililopita? Walipokeaje?
Mahitaji kadhaa yaliletwa kipindi kilichopita na tulipanga kuyakabili mahitaji hayo. Je, yalifanikiwa kiasi gani?
Hebu sasa, tusikilize andiko la Mungu.

Yohana 11: 1-44

¹ Basi mtu mmoja jina lake Lazaro alikuwa mgonjwa. Yeye alikuwa akiishi Bethania kijiji cha Maria na Martha dada zake. ² Huyu Maria, ambaye Lazaro kaka yake alikuwa mgonjwa, ndiye yule ambaye alimpaka Bwana mafuta na kuifuta miguu yake kwa nywele zake. ³ Hivyo hawa dada wawili walituma ujumbe kwa Yesu kumwambia, “Bwana, yule umpendaye ni mgonjwa.” Lakini Yesu aliposikia hayo, akasema, “Ugonjwa huu hautaleta mauti bali umetokea ili kudhihirisha utukufu wa Mungu, ili Mwana wa Mungu apate kutukuzwa kutokana na ugonjwa huu.” Pamoja na hivyo, ingawa Yesu aliwapenda Martha, Maria na Lazaro ndugu yao, baada ya kusikia kwamba Lazaro ni mgonjwa, aliendelea kukawia huko alikokuwa kwa siku mbili zaidi. Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Haya, turudi Uyahudi.” Wanafunzi wake wakamwambia, “Rabi, Wayahudi walikuwa wanataka kukupiga mawe, nawe unataka kurudi huko?” Yesu akawajibu, “Si kuna saa kumi na mbili za mchana katika siku moja? Wala watembeao mchana hawawezi kujikwaa kwa maana wanaona nuru ya ulimwengu huu. ¹⁰ Lakini wale watembeao usiku hujikwaa kwa sababu hakuna nuru ndani yao.” ¹¹ Baada ya kusema haya, Yesu akawaambia, “Rafiki yetu Lazaro amelala, lakini naenda kumwamsha.” ¹² Wanafunzi wakamwambia, “Bwana, kama amelala usingizi ataamka.” ¹³ Hata hivyo, Yesu alikuwa anazungumzia kuwa Lazaro amekufa, lakini wanafunzi wake hawakuelewa, walidhani kwamba anasema Lazaro amelala usingizi tu. ¹⁴ Kwa hiyo Yesu akawaambia waziwazi, “Lazaro amekufa. ¹⁵ Hata hivyo nafurahi kwa kuwa sikuwepo huko kabla ya Lazaro kufa, ili mpate kuamini. Lakini sasa twendeni kwake.” ¹⁶ Tomaso aliyeitwa Pacha akawaambia wanafunzi wenzake, “Sisi nasi twendeni tukafe pamoja naye.” ¹⁷ Yesu alipowasili huko alikuta Lazaro amekuwa kaburini siku nne. ¹⁸ Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu umbali wa karibu maili mbili, ¹⁹ na Wayahudi wengi walikuwa wamekuja kuwafariji Martha na Maria kwa ajili ya kufiwa na ndugu yao. ²⁰ Martha aliposikia kwamba Yesu anakuja, alitoka kwenda kumlaki, ila Maria alibaki nyumbani. ²¹ Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, ndugu yangu hangalikufa. ²² Lakini sasa ninajua kuwa chochote utakachomwomba Mungu, atakupa.” ²³ Yesu akamwambia, “Ndugu yako atafufuka.” ²⁴ Martha akamjibu, “Ninajua ya kuwa atafufuka wakati wa ufufuo wa wafu siku ya mwisho.” ²⁵ Yesu akamwambia, “Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi ²⁶ na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je, unasadiki haya?” ²⁷ Martha akamwambia, “Ndiyo Bwana, ninaamini ya kuwa wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu, yeye ajaye ulimwenguni.” ²⁸ Baada ya kusema haya Martha alikwenda, akamwita Maria dada yake faraghani na kumwambia, “Mwalimu yuko hapa anakuita.” ²⁹ Maria aliposikia hivyo, akaondoka upesi akaenda mpaka alipokuwa Yesu. ³⁰ Yesu alikuwa hajaingia kijijini, bali alikuwa bado yuko mahali pale alipokutana na Martha. ³¹ Wale Wayahudi waliokuwa pamoja na Maria nyumbani wakimfariji walipoona ameondoka haraka na kutoka nje, walimfuata wakidhani ya kwamba alikuwa anakwenda kule kaburini kulilia huko. ³² Maria alipofika mahali pale Yesu alipokuwa, alipiga magoti miguuni Pake na kusema, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, ndugu yangu hangalikufa.” ³³ Yesu alipomwona Maria akilia na wale Wayahudi waliokuja pamoja naye pia wakilia, Yesu alisikia uchungu moyoni, akafadhaika sana. ³⁴ Akauliza, “Mmemweka wapi?” Wakamwambia, “Bwana, njoo upaone.” ³⁵ Yesu akalia machozi. ³⁶ Ndipo Wayahudi wakasema, “Tazama jinsi alivyompenda Lazaro!” ³⁷ Lakini wengine wakasema, “Je, yule aliyefungua macho ya kipofu, hakuweza kumfanya na huyu asife?” ³⁸ Yesu kwa mara nyingine akiwa amefadhaika sana, akafika penye kaburi. Hilo kaburi lilikuwa pango ambalo jiwe lilikuwa limewekwa kwenye ingilio lake. ³⁹ Yesu akasema, “Liondoeni hilo jiwe.” Martha ndugu yake yule aliyekuwa amekufa akasema, “Lakini Bwana, wakati huu atakuwa ananuka kwani amekwisha kuwa kaburini siku nne.” ⁴⁰ Yesu akamwambia, “Sikukuambia kwamba kama ukiamini utauona utukufu wa Mungu?” ⁴¹ Kwa hiyo wakaliondoa lile jiwe kutoka kaburini. Yesu akainua macho yake juu akasema, “Baba, ninakushukuru kwa kuwa wanisikia. ⁴² Ninajua ya kuwa wewe hunisikia siku zote, lakini nimesema haya kwa ajili ya umati huu uliosimama hapa, ili wapate kuamini ya kuwa wewe umenituma.” ⁴³ Baada ya kusema haya, Yesu akapaza sauti yake akaita, “Lazaro, njoo huku!” ⁴⁴ Yule aliyekuwa amekufa akatoka nje, mikono yake na miguu yake ikiwa imeviringishiwa vitambaa vya kitani na leso usoni pake. Yesu akawaambia, “Mfungueni, mwacheni aende zake.”

Swahili: Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ (Bible) Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ Hakimiliki © 1984, 1989, na Biblica, Inc. Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™, Toleo la Kusikiliza Hakimiliki ℗ 2013 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Copyright ℗ 2013 by Biblica, Inc. Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ Hakimiliki © 1984, 1989, 2009, 2015 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. ―――――― Kazi hii imewezeshwa kupitia idhini ya kundi la the Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International License (CC BY-SA). Ili kuona nakala ya idhini hii, angalia kwenye anwani tovuti ya http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0 au uandike barua kwa Creative Commons, PO Box 1866, Mountain View, CA 94042, USA. Biblica® ni alama ya biashara iliyosajilishwa na shirika la Biblica, Inc; unahitaji ruhusa ya kimaandiko kutoka kwa Biblica, Inc. ili kutumia alama ya biashara ya Biblica®. Kulingana na makubaliano ya leseni ya CC BY-SA, unaweza kutoa nakala na kusambaza kazi hii bila kuibadilisha kamwe, mradi tu udumishe alama ya biashara ya Biblica®. Ukibadilisha au kufasiri kazi hii, na hivyo ukanyambua kazi tofauti, sharti uondoe alama ya biashara ya Biblica®. Katika kazi uliyonyambua, sharti uarifu mabadiliko yako, na kutambua kazi yako hivi: “Kazi ya asili ya Biblica, Inc. inapatikana bila bei katika tovuti za www.biblica.com na open.bible.” Ilani ya hakimiliki sharti iwe katika ukurasa wa kichwa au wa hakilimiliki kama ifuatavyo: Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™, Toleo la Kusikiliza Hakimiliki ℗ 2013 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Copyright ℗ 2013 by Biblica, Inc. Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ Hakimiliki © 1984, 1989, 2009, 2015 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. Sharti pia uwasilishe kazi uliyonyambua kupitia kwa liseni hiyo hiyo ya CC BY-SA. Ikiwa ungependa kujulisha Biblica, Inc. kuhusu tafsiri yako ya kazi hii, tafadhali wasiliana nasi katika tovuti https://open.bible/contact-us. This work is made available under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International License (CC BY-SA). To view a copy of this license, visit http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0 or send a letter to Creative Commons, PO Box 1866, Mountain View, CA 94042, USA. Biblica® is a trademark registered by Biblica, Inc., and use of the Biblica® trademark requires the written permission of Biblica, Inc. Under the terms of the CC BY-SA license, you may copy and redistribute this unmodified work as long as you keep the Biblica® trademark intact. If you modify a copy or translate this work, thereby creating a derivative work, you must remove the Biblica® trademark. On the derivative work, you must indicate what changes you have made and attribute the work as follows: “The original work by Biblica, Inc. is available for free at www.biblica.com and open.bible.” Notice of copyright must appear on the title or copyright page of the work as follows: Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™, Toleo la Kusikiliza Hakimiliki ℗ 2013 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Copyright ℗ 2013 by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. Sharti pia uwasilishe kazi uliyonyambua kupitia kwa liseni hiyo hiyo ya CC BY-SA. Ikiwa ungependa kujulisha Biblica, Inc. kuhusu tafsiri yako ya kazi hii, tafadhali wasiliana nasi katika tovuti https://open.bible/contact-us. This work is made available under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International License (CC BY-SA). To view a copy of this license, visit http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0 or send a letter to Creative Commons, PO Box 1866, Mountain View, CA 94042, USA. Biblica® is a trademark registered by Biblica, Inc., and use of the Biblica® trademark requires the written permission of Biblica, Inc. Under the terms of the CC BY-SA license, you may copy and redistribute this unmodified work as long as you keep the Biblica® trademark intact. If you modify a copy or translate this work, thereby creating a derivative work, you must remove the Biblica® trademark. On the derivative work, you must indicate what changes you have made and attribute the work as follows: “The original work by Biblica, Inc. is available for free at www.biblica.com and open.bible.” Notice of copyright must appear on the title or copyright page of the work as follows: Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™, Toleo la Kusikiliza Hakimiliki ℗ 2013 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Copyright ℗ 2013 by Biblica, Inc. Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ Hakimiliki © 1984, 1989, 2009, 2015 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. You must also make your derivative work available under the same license (CC BY-SA). If you would like to notify Biblica, Inc. regarding your translation of this work, please contact us at https://open.bible/contact-us.

Application

Mtu moja aelezee kifungu hicho kwa maneno yake mwenyewe, kama vile anamueleze rafiki yake ambaye hajawahi sikia.Tuwasaidie, kama wataacha jambo au kuongeza kitu kimakosa. Hili likitokea tunaweza kuuliza, "Unalipata wapi katika andiko?"
Andiko hili inatufundisha nini kuhusu Mungu, tabia yake na matendo yake?
Tunajifunza nini kuhusu watu, Tukiwemo sisi wenyewe kutoka katika andiko?
Ukweli wa Mungu ilioko katika andiko hili utatumiaje katika maisha yako wiki hii? Tendo gani mahususi au jambo lolote utakalo fanya?
Je utamshirikishanani ukweli ilioko katika andiko hili kabla hatujakutana tena? Je, unawafahamu wengine watakaopenda ugunduzi wa Neno la Mungu katika programu hii kama tufanyavyo sisi?
Kabla hatujahitimisha, tupange siku ya kukutana tena na ni nani atakayeongoza kikao kijacho.
Tumekuwa na wati nzuri pamoja. Tunawakumbusha uweke kumbukumbu kuhusu ulichoahidi kufanya, na usikilize andiko tena siku moja kabla hatujakutana tena. Kiongozi anaweza kushirikisha andiko kwa maneno au sauti kama kila mtu hana. Tunapoandoka tumuombe Bwana kutusaidia.

0:00

0:00