Foundations 4

Kuwa Wanafunzi

Kua mwanafunzi wa Yesu kunamaanisha nini? Maisha yako yanapaswa kuwa tofauti vipi sasa ikilinganishwa na kabla ya kukutana Naye? Masomo haya yanasaidia kujibu maswali yoyote ambayo unaweza kuwa nayo kuhusu kuwa mwanafunzi.