Foundations 5

Kukua kama Jumuiya ya Yesu

Moja vitu tunavyokumbana navyo ukiwa mwanafunzi wa Yesu ni kwamba hatuko pekee yetu. Kuna wafunzi wengine wengi ambao kwa umoja wao huliunda kanisa. Somo hili itakusaidia kuelewa jinsi Biblia inavyosema kuhusu kanisa na kwanini ni muhimu.