Foundations 6

Kuwa Viongozi

Kama mwanafunzi wa Yesu, umepewa Roho Mtakatifu, na hii inakufanya kuwa kiongozi. Iwe ni Mungu anakuongoza uwe kiongozi kazini kwako, kanisani, au hata katika familia yako ni muhimu kufahamu Biblia inasemaje kuhusu uongozi. Somo hilo itakusaidia kuongoza kila siku.

1

Yesu kama Mtumishi

Wafilipi 2: 1-11

2

Yesu anazungumzia Uongozi

Mathayo 23: 1-12

3

Viongozi wazuri wanafanya nini?

1 Petro 5: 1-11

4

Viongozi wabaya wanafanya nini?

Ezekieli 34: 1-16

5

Yesu ni mfano wa Mchungaji mwema

Yohana 10: 1-18

6

Mfano wa Paulo

1 Wathesalonike 1: 4-7, 2: 1-12

7

Uaminifu na uzidishwaji

2 Timotheo 2: 1-7

8

Kuwaandaa Wanafunzi

Waefeso 4: 1-7, 4: 11-16

9

Maelekezo ya Paulo kwa Viongozi

Matendo 20: 17-38

10

Maisha ya Kujitolea

Warumi 12: 1-21

11

Sifa za Uongozi

Tito 1: 5-9

12

Viongozi katika uzidishwaji

Matendo 14: 21-23, 20: 17, 20: 28, Wafilipi 1: 1-6