Wanafunzi husamehe wengine kama Mungu alivyowasamehe wao

Fellowship

Kilichotokea tangu tulipoachana je, una jambo la shukurani?
Jambo gani kimekuletea changamoto wiki hii, na je, unahitaji nini ili mambo yawe sawa?
Hitaji la watu nini katika jamii yako, na tunaweza kusaidiana vipi ili hitaji hilo litatuliwe?
Andiko lilikuwa lipi tulipokutana mara ya mwisho? Tulijifunza nini kuhusu Mungu na watu?
Katika kipindi kilichopita uliamua kutimiza ulichojifunza kwa vitendo. Ulifanyaje na ilifanikiwa kiasi gani?
Ulimshirikisha nani jambo kutoka andiko lililopita? Walipokeaje?
Mahitaji kadhaa yaliletwa kipindi kilichopita na tulipanga kuyakabili mahitaji hayo. Je, yalifanikiwa kiasi gani?
Hebu sasa, tusikilize andiko la Mungu.

Mathayo 18: 21-35

²¹ Ndipo Petro akamjia Yesu na kumuuliza, “Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami nimsamehe? Je, hata mara saba?” ²² Yesu akamjibu, “Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini. ²³ “Kwa hiyo Ufalme wa Mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme aliyetaka kufanya hesabu zake za fedha na watumishi wake. ²⁴ Alipoanza kufanya hesabu zake, mtu mmoja aliyekuwa anadaiwa talanta 10,000, aliletwa kwake. ²⁵ Kwa kuwa alikuwa hawezi kulipa deni hilo, bwana wake akaamuru kwamba auzwe, yeye, mkewe, watoto wake na vyote alivyokuwa navyo, ili lile deni lipate kulipwa. ²⁶ “Yule mtumishi akampigia magoti, akamsihi yule bwana akisema, ‘Naomba univumilie, nami nitakulipa deni lako lote.’ ²⁷ Yule bwana wa huyo mtumishi akamwonea huruma, akafuta deni lake lote, akamwacha aende zake. ²⁸ “Lakini yule mtumishi alipokuwa anatoka nje, akakutana na mtumishi mwenzake aliyekuwa amemkopesha dinari mia moja. Akamkamata, akamkaba koo akimwambia, ‘Nilipe kile ninachokudai!’ ²⁹ “Yule mtumishi mwenzake akapiga magoti akamsihi akisema, ‘Naomba univumilie, nami nitakulipa deni lako lote.’ ³⁰ “Lakini akakataa. Badala yake, alienda akamtupa gerezani hata atakapolipa hilo deni. ³¹ Watumishi wenzake walipoona haya yaliyotukia wakaudhika sana, nao wakaenda na kumwambia bwana wao kila kitu kilichokuwa kimetukia. ³² “Yule bwana akamwita yule mtumishi akamwambia, ‘Wewe mtumishi mwovu! Mimi nilikusamehe deni lako lote uliponisihi. ³³ Je, haikukupasa kumhurumia mtumishi mwenzako kama mimi nilivyokuhurumia wewe?’ ³⁴ Kwa hasira, yule bwana wake akamtia yule mtumishi mikononi mwa askari wa gereza ili ateswe mpaka atakapolipa yote aliyokuwa anadaiwa. ³⁵ “Hivi ndivyo Baba yangu wa mbinguni atakavyomfanyia kila mmoja wenu ikiwa hatamsamehe ndugu yake kutoka moyoni mwake.”

Swahili: Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ (Bible) Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ Hakimiliki © 1984, 1989, na Biblica, Inc. Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™, Toleo la Kusikiliza Hakimiliki ℗ 2013 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Copyright ℗ 2013 by Biblica, Inc. Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ Hakimiliki © 1984, 1989, 2009, 2015 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. ―――――― Kazi hii imewezeshwa kupitia idhini ya kundi la the Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International License (CC BY-SA). Ili kuona nakala ya idhini hii, angalia kwenye anwani tovuti ya http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0 au uandike barua kwa Creative Commons, PO Box 1866, Mountain View, CA 94042, USA. Biblica® ni alama ya biashara iliyosajilishwa na shirika la Biblica, Inc; unahitaji ruhusa ya kimaandiko kutoka kwa Biblica, Inc. ili kutumia alama ya biashara ya Biblica®. Kulingana na makubaliano ya leseni ya CC BY-SA, unaweza kutoa nakala na kusambaza kazi hii bila kuibadilisha kamwe, mradi tu udumishe alama ya biashara ya Biblica®. Ukibadilisha au kufasiri kazi hii, na hivyo ukanyambua kazi tofauti, sharti uondoe alama ya biashara ya Biblica®. Katika kazi uliyonyambua, sharti uarifu mabadiliko yako, na kutambua kazi yako hivi: “Kazi ya asili ya Biblica, Inc. inapatikana bila bei katika tovuti za www.biblica.com na open.bible.” Ilani ya hakimiliki sharti iwe katika ukurasa wa kichwa au wa hakilimiliki kama ifuatavyo: Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™, Toleo la Kusikiliza Hakimiliki ℗ 2013 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Copyright ℗ 2013 by Biblica, Inc. Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ Hakimiliki © 1984, 1989, 2009, 2015 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. Sharti pia uwasilishe kazi uliyonyambua kupitia kwa liseni hiyo hiyo ya CC BY-SA. Ikiwa ungependa kujulisha Biblica, Inc. kuhusu tafsiri yako ya kazi hii, tafadhali wasiliana nasi katika tovuti https://open.bible/contact-us. This work is made available under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International License (CC BY-SA). To view a copy of this license, visit http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0 or send a letter to Creative Commons, PO Box 1866, Mountain View, CA 94042, USA. Biblica® is a trademark registered by Biblica, Inc., and use of the Biblica® trademark requires the written permission of Biblica, Inc. Under the terms of the CC BY-SA license, you may copy and redistribute this unmodified work as long as you keep the Biblica® trademark intact. If you modify a copy or translate this work, thereby creating a derivative work, you must remove the Biblica® trademark. On the derivative work, you must indicate what changes you have made and attribute the work as follows: “The original work by Biblica, Inc. is available for free at www.biblica.com and open.bible.” Notice of copyright must appear on the title or copyright page of the work as follows: Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™, Toleo la Kusikiliza Hakimiliki ℗ 2013 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Copyright ℗ 2013 by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. Sharti pia uwasilishe kazi uliyonyambua kupitia kwa liseni hiyo hiyo ya CC BY-SA. Ikiwa ungependa kujulisha Biblica, Inc. kuhusu tafsiri yako ya kazi hii, tafadhali wasiliana nasi katika tovuti https://open.bible/contact-us. This work is made available under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International License (CC BY-SA). To view a copy of this license, visit http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0 or send a letter to Creative Commons, PO Box 1866, Mountain View, CA 94042, USA. Biblica® is a trademark registered by Biblica, Inc., and use of the Biblica® trademark requires the written permission of Biblica, Inc. Under the terms of the CC BY-SA license, you may copy and redistribute this unmodified work as long as you keep the Biblica® trademark intact. If you modify a copy or translate this work, thereby creating a derivative work, you must remove the Biblica® trademark. On the derivative work, you must indicate what changes you have made and attribute the work as follows: “The original work by Biblica, Inc. is available for free at www.biblica.com and open.bible.” Notice of copyright must appear on the title or copyright page of the work as follows: Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™, Toleo la Kusikiliza Hakimiliki ℗ 2013 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Copyright ℗ 2013 by Biblica, Inc. Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ Hakimiliki © 1984, 1989, 2009, 2015 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. You must also make your derivative work available under the same license (CC BY-SA). If you would like to notify Biblica, Inc. regarding your translation of this work, please contact us at https://open.bible/contact-us.

Application

Mtu moja aelezee kifungu hicho kwa maneno yake mwenyewe, kama vile anamueleze rafiki yake ambaye hajawahi sikia.Tuwasaidie, kama wataacha jambo au kuongeza kitu kimakosa. Hili likitokea tunaweza kuuliza, "Unalipata wapi katika andiko?"
Andiko hili inatufundisha nini kuhusu Mungu, tabia yake na matendo yake?
Tunajifunza nini kuhusu watu, Tukiwemo sisi wenyewe kutoka katika andiko?
Tunajifunza nini kutoka andiko hili kuhusu kuwa wanafunzi?
Ukweli wa Mungu ilioko katika andiko hili utatumiaje katika maisha yako wiki hii? Tendo gani mahususi au jambo lolote utakalo fanya?
Je utamshirikishanani ukweli ilioko katika andiko hili kabla hatujakutana tena? Je, unawafahamu wengine watakaopenda ugunduzi wa Neno la Mungu katika programu hii kama tufanyavyo sisi?
Kabla hatujahitimisha, tupange siku ya kukutana tena na ni nani atakayeongoza kikao kijacho.
Tumekuwa na wati nzuri pamoja. Tunawakumbusha uweke kumbukumbu kuhusu ulichoahidi kufanya, na usikilize andiko tena siku moja kabla hatujakutana tena. Kiongozi anaweza kushirikisha andiko kwa maneno au sauti kama kila mtu hana. Tunapoandoka tumuombe Bwana kutusaidia.

0:00

0:00