Foundations 1

Kutoka Uumbaji hadi Kuzaliwa kwa Yesu

Anza safari yako kuelekea kugundua na kujifunza jinsi Mungu kwa alivyoumba ulimwengu na vyote vilivyomo. Fahamu jinsi Mungu alivyoanza uhusiano wake na wanadamu na ni nini kilichoharibu. Masomo haya yanatoa mtazamo wa asili ya tabia ya Mungu ya upendo na hitaji letu la msamaha.