¹ Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia. ² Wakati huu dunia ilikuwa haina umbo, tena ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, naye Roho wa Mungu alikuwa ametulia juu ya maji. ³ Mungu akasema, “Iwepo nuru,” nayo nuru ikawepo. ⁴ Mungu akaona ya kuwa nuru ni njema, ndipo Mungu akatenganisha nuru na giza. ⁵ Mungu akaiita nuru “mchana,” na giza akaliita “usiku.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya kwanza. ⁶ Mungu akasema, “Iwepo nafasi kati ya maji igawe maji na maji.” ⁷ Kwa hiyo Mungu akafanya nafasi, akatenganisha maji yaliyo chini ya hiyo nafasi na maji yaliyo juu yake. Ikawa hivyo. ⁸ Mungu akaiita hiyo nafasi “anga.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya pili. ⁹ Mungu akasema, “Maji yaliyopo chini ya anga na yakusanyike mahali pamoja, pawepo na nchi kavu.” Ikawa hivyo. ¹⁰ Mungu akaiita nchi kavu “ardhi,” nalo lile kusanyiko la maji akaliita “bahari.” Mungu akaona kuwa ni vyema. ¹¹ Kisha Mungu akasema, “Ardhi na itoe mimea: miche itoayo mbegu, miti juu ya nchi itoayo matunda yenye mbegu ndani yake, kila mmea kulingana na aina zake mbalimbali.” Ikawa hivyo. ¹² Ardhi ikachipua mimea: Mimea itoayo mbegu kulingana na aina zake, na miti itoayo matunda yenye mbegu kulingana na aina zake. Mungu akaona ya kuwa hili ni jema. ¹³ Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tatu. ¹⁴ Mungu akasema, “Iwepo mianga kwenye nafasi ya anga ili itenganishe usiku na mchana, nayo iwe alama ya kutambulisha majira mbalimbali, siku na miaka, ¹⁵ nayo iwe mianga kwenye nafasi ya anga ya kutia nuru juu ya dunia.” Ikawa hivyo. ¹⁶ Mungu akafanya mianga miwili mikubwa: mwanga mkubwa utawale mchana, na mwanga mdogo utawale usiku. Pia Mungu akafanya nyota. ¹⁷ Mungu akaiweka katika nafasi ya anga iangaze dunia, ¹⁸ itawale usiku na mchana, na ikatenganishe nuru na giza. Mungu akaona kuwa hili ni jema. ¹⁹ Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya nne. ²⁰ Mungu akasema, “Kuwepo na viumbe hai tele kwenye maji, nao ndege waruke juu ya dunia katika nafasi ya anga.” ²¹ Kwa hiyo Mungu akaumba viumbe wakubwa wa baharini na kila kiumbe hai kiendacho majini kulingana na aina zake, na kila ndege mwenye mabawa kulingana na aina yake. Mungu akaona kuwa hili ni jema. ²² Mungu akavibariki, akasema, “Zaeni mwongezeke, mkayajaze maji ya bahari, nao ndege waongezeke katika dunia.” ²³ Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tano. ²⁴ Mungu akasema, “Ardhi na itoe viumbe hai kulingana na aina zake: wanyama wa kufugwa, viumbe vitambaavyo ardhini na wanyama pori, kila mnyama kulingana na aina yake.” Ikawa hivyo. ²⁵ Mungu akafanya wanyama pori kulingana na aina zake, wanyama wa kufugwa kulingana na aina zake, na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi kulingana na aina zake. Mungu akaona kuwa hili ni jema.
Swahili: Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ (Bible) Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ Hakimiliki © 1984, 1989, na Biblica, Inc. Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™, Toleo la Kusikiliza Hakimiliki ℗ 2013 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Copyright ℗ 2013 by Biblica, Inc. Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ Hakimiliki © 1984, 1989, 2009, 2015 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. ―――――― Kazi hii imewezeshwa kupitia idhini ya kundi la the Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International License (CC BY-SA). Ili kuona nakala ya idhini hii, angalia kwenye anwani tovuti ya http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0 au uandike barua kwa Creative Commons, PO Box 1866, Mountain View, CA 94042, USA. Biblica® ni alama ya biashara iliyosajilishwa na shirika la Biblica, Inc; unahitaji ruhusa ya kimaandiko kutoka kwa Biblica, Inc. ili kutumia alama ya biashara ya Biblica®. Kulingana na makubaliano ya leseni ya CC BY-SA, unaweza kutoa nakala na kusambaza kazi hii bila kuibadilisha kamwe, mradi tu udumishe alama ya biashara ya Biblica®. Ukibadilisha au kufasiri kazi hii, na hivyo ukanyambua kazi tofauti, sharti uondoe alama ya biashara ya Biblica®. Katika kazi uliyonyambua, sharti uarifu mabadiliko yako, na kutambua kazi yako hivi: “Kazi ya asili ya Biblica, Inc. inapatikana bila bei katika tovuti za www.biblica.com na open.bible.” Ilani ya hakimiliki sharti iwe katika ukurasa wa kichwa au wa hakilimiliki kama ifuatavyo: Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™, Toleo la Kusikiliza Hakimiliki ℗ 2013 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Copyright ℗ 2013 by Biblica, Inc. Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ Hakimiliki © 1984, 1989, 2009, 2015 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. Sharti pia uwasilishe kazi uliyonyambua kupitia kwa liseni hiyo hiyo ya CC BY-SA. Ikiwa ungependa kujulisha Biblica, Inc. kuhusu tafsiri yako ya kazi hii, tafadhali wasiliana nasi katika tovuti https://open.bible/contact-us. This work is made available under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International License (CC BY-SA). To view a copy of this license, visit http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0 or send a letter to Creative Commons, PO Box 1866, Mountain View, CA 94042, USA. Biblica® is a trademark registered by Biblica, Inc., and use of the Biblica® trademark requires the written permission of Biblica, Inc. Under the terms of the CC BY-SA license, you may copy and redistribute this unmodified work as long as you keep the Biblica® trademark intact. If you modify a copy or translate this work, thereby creating a derivative work, you must remove the Biblica® trademark. On the derivative work, you must indicate what changes you have made and attribute the work as follows: “The original work by Biblica, Inc. is available for free at www.biblica.com and open.bible.” Notice of copyright must appear on the title or copyright page of the work as follows: Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™, Toleo la Kusikiliza Hakimiliki ℗ 2013 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Copyright ℗ 2013 by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. Sharti pia uwasilishe kazi uliyonyambua kupitia kwa liseni hiyo hiyo ya CC BY-SA. Ikiwa ungependa kujulisha Biblica, Inc. kuhusu tafsiri yako ya kazi hii, tafadhali wasiliana nasi katika tovuti https://open.bible/contact-us. This work is made available under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International License (CC BY-SA). To view a copy of this license, visit http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0 or send a letter to Creative Commons, PO Box 1866, Mountain View, CA 94042, USA. Biblica® is a trademark registered by Biblica, Inc., and use of the Biblica® trademark requires the written permission of Biblica, Inc. Under the terms of the CC BY-SA license, you may copy and redistribute this unmodified work as long as you keep the Biblica® trademark intact. If you modify a copy or translate this work, thereby creating a derivative work, you must remove the Biblica® trademark. On the derivative work, you must indicate what changes you have made and attribute the work as follows: “The original work by Biblica, Inc. is available for free at www.biblica.com and open.bible.” Notice of copyright must appear on the title or copyright page of the work as follows: Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™, Toleo la Kusikiliza Hakimiliki ℗ 2013 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Copyright ℗ 2013 by Biblica, Inc. Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ Hakimiliki © 1984, 1989, 2009, 2015 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. You must also make your derivative work available under the same license (CC BY-SA). If you would like to notify Biblica, Inc. regarding your translation of this work, please contact us at https://open.bible/contact-us.
0:00
0:00