Foundations 9

Kukua Kama Viongozi

Kama unaishi maisha kama ya mwanafunzi aliyetayari kuwafanya wengine kuwa wanafunzi.hadi sasa utagundua kwamba unahitaji kuwa kiongozi anayetegemewa. Somo hili litatatua baadhi ya maswali magumu ya uongozi na kukusaidia kuelewa hekima ilioko katika Biblia kwa wale wanaowatumikia wengine.