¹⁶ Lakini ninapohubiri Injili siwezi kujisifu maana ninalazimika kuhubiri. Ole wangu nisipoihubiri Injili! ¹⁷ Nikihubiri kwa hiari, ninayo thawabu. Lakini kama si kwa hiari, basi ninachofanya ni kutekeleza tu uwakili niliowekewa. ¹⁸ Basi je, thawabu yangu ni nini? Thawabu yangu ni hii: Ya kwamba katika kuhubiri Injili niitoe bila gharama, bila kutumia kwa utimilifu uwezo wangu nilio nao katika Injili. ¹⁹ Ingawa mimi ni huru, wala si mtumwa wa mtu yeyote, nimejifanya kuwa mtumwa wa kila mtu, ili niweze kuwavuta wengi kadri iwezekanavyo. ²⁰ Kwa Wayahudi, nilikuwa kama Myahudi, ili niwapate Wayahudi. Kwa watu wale walio chini ya sheria, nilikuwa kama aliye chini ya sheria (ingawa mimi siko chini ya sheria), ili niweze kuwapata wale walio chini ya sheria. ²¹ Kwa watu wasio na sheria nilikuwa kama asiye na sheria (ingawa siko huru mbali na sheria ya Mungu, bali niko chini ya sheria ya Kristo), ili niweze kuwapata wale wasio na sheria. ²² Kwa walio dhaifu nilikuwa dhaifu, ili niweze kuwapata walio dhaifu. Nimekuwa mtu wa hali zote kwa watu wote ili kwa njia yoyote niweze kuwaokoa baadhi yao. ²³ Nafanya haya yote kwa ajili ya Injili, ili nipate kushiriki baraka zake. ²⁴ Je, hamjui kwamba katika mashindano ya mbio wote wanaoshindana hukimbia, lakini ni mmoja wao tu apewaye tuzo? Kwa hiyo kimbieni katika mashindano kwa jinsi ambavyo mtapata tuzo. ²⁵ Kila mmoja anayeshiriki katika mashindano hufanya mazoezi makali. Wao hufanya hivyo ili wapokee taji isiyodumu, lakini sisi tunafanya hivyo ili kupata taji idumuyo milele. ²⁶ Kwa hiyo mimi sikimbii kama mtu akimbiaye bila lengo, sipigani kama mtu anayepiga hewa, ²⁷ la, bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha ili nikiisha kuwahubiria wengine, mimi nisiwe mtu wa kukataliwa.
Swahili: Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ (Bible) Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ Hakimiliki © 1984, 1989, na Biblica, Inc. Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™, Toleo la Kusikiliza Hakimiliki ℗ 2013 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Copyright ℗ 2013 by Biblica, Inc. Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ Hakimiliki © 1984, 1989, 2009, 2015 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. ―――――― Kazi hii imewezeshwa kupitia idhini ya kundi la the Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International License (CC BY-SA). Ili kuona nakala ya idhini hii, angalia kwenye anwani tovuti ya http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0 au uandike barua kwa Creative Commons, PO Box 1866, Mountain View, CA 94042, USA. Biblica® ni alama ya biashara iliyosajilishwa na shirika la Biblica, Inc; unahitaji ruhusa ya kimaandiko kutoka kwa Biblica, Inc. ili kutumia alama ya biashara ya Biblica®. Kulingana na makubaliano ya leseni ya CC BY-SA, unaweza kutoa nakala na kusambaza kazi hii bila kuibadilisha kamwe, mradi tu udumishe alama ya biashara ya Biblica®. Ukibadilisha au kufasiri kazi hii, na hivyo ukanyambua kazi tofauti, sharti uondoe alama ya biashara ya Biblica®. Katika kazi uliyonyambua, sharti uarifu mabadiliko yako, na kutambua kazi yako hivi: “Kazi ya asili ya Biblica, Inc. inapatikana bila bei katika tovuti za www.biblica.com na open.bible.” Ilani ya hakimiliki sharti iwe katika ukurasa wa kichwa au wa hakilimiliki kama ifuatavyo: Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™, Toleo la Kusikiliza Hakimiliki ℗ 2013 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Copyright ℗ 2013 by Biblica, Inc. Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ Hakimiliki © 1984, 1989, 2009, 2015 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. Sharti pia uwasilishe kazi uliyonyambua kupitia kwa liseni hiyo hiyo ya CC BY-SA. Ikiwa ungependa kujulisha Biblica, Inc. kuhusu tafsiri yako ya kazi hii, tafadhali wasiliana nasi katika tovuti https://open.bible/contact-us. This work is made available under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International License (CC BY-SA). To view a copy of this license, visit http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0 or send a letter to Creative Commons, PO Box 1866, Mountain View, CA 94042, USA. Biblica® is a trademark registered by Biblica, Inc., and use of the Biblica® trademark requires the written permission of Biblica, Inc. Under the terms of the CC BY-SA license, you may copy and redistribute this unmodified work as long as you keep the Biblica® trademark intact. If you modify a copy or translate this work, thereby creating a derivative work, you must remove the Biblica® trademark. On the derivative work, you must indicate what changes you have made and attribute the work as follows: “The original work by Biblica, Inc. is available for free at www.biblica.com and open.bible.” Notice of copyright must appear on the title or copyright page of the work as follows: Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™, Toleo la Kusikiliza Hakimiliki ℗ 2013 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Copyright ℗ 2013 by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. Sharti pia uwasilishe kazi uliyonyambua kupitia kwa liseni hiyo hiyo ya CC BY-SA. Ikiwa ungependa kujulisha Biblica, Inc. kuhusu tafsiri yako ya kazi hii, tafadhali wasiliana nasi katika tovuti https://open.bible/contact-us. This work is made available under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International License (CC BY-SA). To view a copy of this license, visit http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0 or send a letter to Creative Commons, PO Box 1866, Mountain View, CA 94042, USA. Biblica® is a trademark registered by Biblica, Inc., and use of the Biblica® trademark requires the written permission of Biblica, Inc. Under the terms of the CC BY-SA license, you may copy and redistribute this unmodified work as long as you keep the Biblica® trademark intact. If you modify a copy or translate this work, thereby creating a derivative work, you must remove the Biblica® trademark. On the derivative work, you must indicate what changes you have made and attribute the work as follows: “The original work by Biblica, Inc. is available for free at www.biblica.com and open.bible.” Notice of copyright must appear on the title or copyright page of the work as follows: Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™, Toleo la Kusikiliza Hakimiliki ℗ 2013 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, Audio Edition Copyright ℗ 2013 by Biblica, Inc. Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ Hakimiliki © 1984, 1989, 2009, 2015 na Biblica, Inc. Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc. “Biblica” ni alama ya biashara iliyosajiliwa katika Ofisi ya Hataza na Alama za Biashara Marekani (United States Patent and Trademark Office) na shirika la Biblica, Inc. Imetumiwa na ruhusa. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc. Used with permission. You must also make your derivative work available under the same license (CC BY-SA). If you would like to notify Biblica, Inc. regarding your translation of this work, please contact us at https://open.bible/contact-us.
0:00
0:00